Ufafanuzi wa ofisi katika Kiswahili

ofisi, afisi

nominoPlural ofisi

  • 1

    chumba ambamo wafanyakazi hufanya kazi za utawala au uandishi katika kuwahudumia watu.

Asili

Kng

Matamshi

ofisi

/ɔfisi/