Ufafanuzi wa ogofya katika Kiswahili

ogofya

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hofu.

    tisha, dabu

Matamshi

ogofya

/ɔgɔfja/