Ufafanuzi wa ogopa katika Kiswahili

ogopa

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  pata hofu.

  chungia, chelea, tishika, gwaya, kokoneka, hofu

 • 2

  ‘Ogopa Mwenyezi Mungu’
  methali ‘Ogopa ni ngao pia’
  tii

Matamshi

ogopa

/ɔgɔpa/