Ufafanuzi wa ogopesha katika Kiswahili

ogopesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~wa

  • 1

    fanya mtu aingiwe na woga au apate hofu.

    tisha

Matamshi

ogopesha

/ɔgɔpɛ∫a/