Ufafanuzi wa okoa katika Kiswahili

okoa

kitenzi elekezi

  • 1

    toa katika hatari.

    salimisha, nusuru, ponya, vua, afu

Matamshi

okoa

/ɔkɔwa/