Ufafanuzi wa oksijeni katika Kiswahili

oksijeni

nominoPlural oksijeni

  • 1

    gesi isiyo na rangi, harufu wala ladha ambayo ni mojawapo ya gesi zisizo za asili ya chuma na inapatikana kwenye maji, hewa, madini mengi na katika viumbe wengi wenye uhai na ni lazima kwa uhai wa wanyama, wadudu na mimea.

Asili

Kng

Matamshi

oksijeni

/ɔksiʄɛni/