Ufafanuzi wa ole! katika Kiswahili

ole!

kiingizi

  • 1

    neno litumiwalo kuelezea majuto au masikitiko.

    ‘Ole wako!’

Matamshi

ole!

/ɔlɛ/