Ufafanuzi wa omba katika Kiswahili

omba

kitenzi elekezi

  • 1

    taka kitu, haja au msaada kutoka kwa mtu mwingine.

  • 2

    taka kitu, haja au msaada kutoka kwa Mungu au miungu.

Matamshi

omba

/ɔmba/