Ufafanuzi wa ombaomba katika Kiswahili

ombaomba

nominoPlural ombaomba

  • 1

    mtu anayepata mahitaji yake kwa kuzurura mitaani na kuomba kutoka kwa wapitanjia au maabadini.

Matamshi

ombaomba

/ɔmba ɔmba/