Ufafanuzi wa ombolekeza katika Kiswahili

ombolekeza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    rudia maneno wakati wa kulishwa kiapo au wakati wa kutambika mzimuni.

Matamshi

ombolekeza

/ɔmbɔlɛkɛza/