Ufafanuzi wa omboleza katika Kiswahili

omboleza

kitenzi elekezi

  • 1

    lia kwa kusema maneno au kuimba nyimbo za masikitiko au uchungu, agh. kwa sababu ya msiba uliotokea.

Matamshi

omboleza

/ɔmbɔlɛza/