Ufafanuzi wa onana katika Kiswahili

onana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kutana uso kwa uso kwa watu wawili au zaidi.

    ‘Alionana na rafiki yake kule sokoni jana’

Matamshi

onana

/Ι”nana/