Ufafanuzi wa ondoa katika Kiswahili

ondoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    hamisha kutoka mahali pamoja hadi kwingine; fanya -siweko.

    kulula

Matamshi

ondoa

/ɔndɔwa/