Ufafanuzi wa ondosha katika Kiswahili

ondosha

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha kitu au mtu kutoka mahali fulani hadi kwingine.

    hamisha, gwisha

Matamshi

ondosha

/ɔndɔ∫a/