Ufafanuzi wa onekana katika Kiswahili

onekana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa wazi; kuwa dhahiri.

    dhulu

  • 2

    kuwa na ishara ya kutendeka jambo.

    ‘Inaonekana kwamba mvua zi karibu’

Matamshi

onekana

/ɔnɛkana/