Ufafanuzi wa onelea katika Kiswahili

onelea

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na mtazamo juu ya jambo fulani.

Matamshi

onelea

/ɔnɛlɛja/