Ufafanuzi wa ongezea katika Kiswahili

ongezea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    zidisha kitu au hali fulani.

    ‘Hali hii inamwongezea uchungu’
    zidishia

Matamshi

ongezea

/ɔngɛzɛja/