Ufafanuzi wa ongoka katika Kiswahili

ongoka

kitenzi sielekezi

  • 1

    ondokana na dhambi; kuwa na mwenendo mwema.

Matamshi

ongoka

/ɔngɔka/