Ufafanuzi wa ongopa katika Kiswahili

ongopa

kitenzi sielekezi

  • 1

    sema yasiyo kweli; sema uongo.

    vunga, danganya

Matamshi

ongopa

/ɔngɔpa/