Ufafanuzi wa onja katika Kiswahili

onja

transitive verb

  • 1

    tia kitu mdomoni kwa uchache ili kujua ladha yake.

    dhuku

Matamshi

onja

/ɔnʄa/