Ufafanuzi wa onjesha katika Kiswahili

onjesha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu kitu ili ajaribu ladha yake.

    dhuku

Matamshi

onjesha

/ɔnʄɛ∫a/