Ufafanuzi msingi wa onyesho katika Kiswahili

: onyesho1onyesho2

onyesho1

nomino

nomino

  • 1

    sehemu katika tamthiliya ambayo hujitosheleza.

    onesho

Matamshi

onyesho

/ɔɲɛ∫ɔ/

Ufafanuzi msingi wa onyesho katika Kiswahili

: onyesho1onyesho2

onyesho2

nomino

nomino

  • 1

    hali ya kuweka kitu ili kionekane.

    onesho

Matamshi

onyesho

/ɔɲɛ∫ɔ/