Ufafanuzi wa opereta katika Kiswahili

opereta

nominoPlural opereta

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kupokea simu na kisha kumuunganisha mtu aliyepiga simu na yule anayepigiwa.

  • 2

    mwendesha mitambo.

Asili

Kng

Matamshi

opereta

/ɔpɛrɛta/