Ufafanuzi wa osimosisi katika Kiswahili

osimosisi

nominoPlural osimosisi

  • 1

    mfyonzo au mnyonyo wa uowevu; mwenendo wa maji kuingia au kutoka ndani ya kitu.

Asili

Kng

Matamshi

osimosisi

/ɔsimɔsisi/