Ufafanuzi msingi wa ota katika Kiswahili

: ota1ota2ota3ota4

ota1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ana, ~ewa, ~wa

 • 1

  chipuka kutoka ardhini au katika mwili.

  ‘Maharage yameota’
  ‘Mtoto ameshaota meno’
  ‘Nywele zimeota’
  chipua, mea

Matamshi

ota

/ɔta/

Ufafanuzi msingi wa ota katika Kiswahili

: ota1ota2ota3ota4

ota2

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ana, ~ewa, ~wa

 • 1

  ona mambo usingizini; kuwa na njozi.

Matamshi

ota

/ɔta/

Ufafanuzi msingi wa ota katika Kiswahili

: ota1ota2ota3ota4

ota3

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ana, ~ewa, ~wa

 • 1

  pinda, hasa wakati wa kukauka k.v. ubao.

Matamshi

ota

/ɔta/

Ufafanuzi msingi wa ota katika Kiswahili

: ota1ota2ota3ota4

ota4 , kota

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ana, ~ewa, ~wa

 • 1

  kaa mahali ili kupata joto la kitu k.v. moto au jua.

  ‘Ota moto’

 • 2

Matamshi

ota

/ɔta/