Ufafanuzi wa otama katika Kiswahili

otama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kaa bila ya matako kugusa chini.

    chuchumaa, totama, chutama

Matamshi

otama

/ɔtama/