Ufafanuzi msingi wa otea katika Kiswahili

: otea1otea2

otea1

kitenzi elekezi~ana, ~eka, ~esha, ~wa

 • 1

  jificha kwa makusudi ya kushambulia kwa ghafla.

  vizia, nyemelea

 • 2

  zidi upande wa timu pinzani katika mpira.

Matamshi

otea

/ɔtɛja/

Ufafanuzi msingi wa otea katika Kiswahili

: otea1otea2

otea2

nominoPlural motea

 • 1

  mahali pa kuvizia.

Matamshi

otea

/ɔtɛja/