Ufafanuzi msingi wa ovataimu katika Kiswahili

: ovataimu1ovataimu2

ovataimu1

nomino

  • 1

    kazi inayofanywa baada ya saa za kazi za kawaida na ambayo malipo yake huwa ni mbali na mshahara.

    ajari

Asili

Kng

Matamshi

ovataimu

/ɔvataImu/

Ufafanuzi msingi wa ovataimu katika Kiswahili

: ovataimu1ovataimu2

ovataimu2

nomino

Asili

Kng

Matamshi

ovataimu

/ɔvataImu/