Ufafanuzi msingi wa oza katika Kiswahili

: oza1oza2

oza1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ana, ~eana, ~ewa, ~wa

  • 1

    haribika na toa harufu mbaya kutokana na vidudu.

    vunda

Matamshi

oza

/ɔza/

Ufafanuzi msingi wa oza katika Kiswahili

: oza1oza2

oza2

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ana, ~eana, ~ewa, ~wa

  • 1

    kabidhi mtoto katika ndoa au harusi.

    ‘Jirani atamwoza bintiye wiki ijayo’

Matamshi

oza

/ɔza/