Ufafanuzi wa pachika katika Kiswahili

pachika

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka kitu baina ya vitu vingine, agh. viwili.

  • 2

    -pa kitu kwa asiyestahiki.

    ‘Amejipachika ukubwa’

Matamshi

pachika

/patʃika/