Ufafanuzi wa pachua katika Kiswahili

pachua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kitu kilichopachikwa.

    bandua

Matamshi

pachua

/patʃuwa/