Ufafanuzi wa pafu katika Kiswahili

pafu

nominoPlural mapafu

  • 1

    kiungo kilicho kifuani mwa binadamu au mnyama kinachotumika kwa kutolea hewa chafu na kuingizia hewa safi mwilini.

    buhumu, yavuyavu

Matamshi

pafu

/pafu/