Ufafanuzi wa pagao katika Kiswahili

pagao

nominoPlural pagao

  • 1

    dawa ya kuzuia nguvu za pepo wabaya.

    kago, hirizi, talasimu, amali

Matamshi

pagao

/pagawɔ/