Ufafanuzi wa paja katika Kiswahili

paja

nominoPlural mapaja

  • 1

    sehemu ya mguu iliyo kati ya goti na nyonga.

    ago, koro, kiweo, kiga

Matamshi

paja

/paʄa/