Ufafanuzi wa pakasa katika Kiswahili

pakasa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    suka k.v. mkeka, ukili au nywele.

    paraza

Matamshi

pakasa

/pakasa/