Ufafanuzi wa pakawa! katika Kiswahili

pakawa!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumiwa kumwitikia mtambaji hadithi anapotaka kuanza kutamba.

    ‘Paukwa! pakawa’

Matamshi

pakawa!

/pakawa/