Ufafanuzi wa paki katika Kiswahili

paki

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    weka chombo cha usafiri k.v gari, pikipiki, n.k. pembeni mwa barabara au mahali maalumu.

    egesha

Asili

Kng

Matamshi

paki

/paki/