Ufafanuzi msingi wa pakia katika Kiswahili

: pakia1pakia2

pakia1

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~wa, ~za

  • 1

    tia mizigo au watu ndani ya chombo cha kusafiria k.v. gari, jahazi au ndege.

Matamshi

pakia

/pakija/

Ufafanuzi msingi wa pakia katika Kiswahili

: pakia1pakia2

pakia2

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~wa, ~za

  • 1

    hamisha faili au data toka kwenye pahali ilipohifadhiwa k.v. sidii au kompyuta iliyounganishwa kwenye mtandao hadi kwenye mtandao mwingine ili itumiwe au kufanyiwa kazi.

Matamshi

pakia

/pakija/