Ufafanuzi wa palepale katika Kiswahili

palepale

kiunganishi

  • 1

    mahali pale.

  • 2

    muda ule.

Matamshi

palepale

/palɛpalɛ/