Ufafanuzi wa pamahututi katika Kiswahili

pamahututi

nominoPlural pamahututi

  • 1

    hospitali au zahanati inayowapokea wagonjwa waliozidiwa au walio mahututi.

Matamshi

pamahututi

/pamahututi/