Ufafanuzi wa pambaja katika Kiswahili

pambaja

nomino

  • 1

    upitishaji wa mikono kuzunguka mwili wa mtu.

Matamshi

pambaja

/pambaŹ„a/