Ufafanuzi wa pambana katika Kiswahili

pambana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shindana, kwa maneno au vitendo, katika mchezo au vita.

    shindana

  • 2

    gongana kwa nguvu.

    kumbana

Matamshi

pambana

/pambana/