Ufafanuzi wa pambizo katika Kiswahili

pambizo

nominoPlural pambizo

  • 1

    ukingo wa kitu.

    mleoleo, terebesha

  • 2

    nje ya makaazi ya kawaida.

    ‘Hajulikani aliko, yuko pambizoni’

Matamshi

pambizo

/pambizɔ/