Ufafanuzi wa pambua katika Kiswahili

pambua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa au vua pambo.

Matamshi

pambua

/pambuwa/