Ufafanuzi msingi wa pamoja katika Kiswahili

: pamoja1pamoja2

pamoja1

kielezi

 • 1

  neno linalotumika kuelezea umoja wa kufanyika kwa jambo.

  ‘Twende pamoja’
  ‘Vilete kwa pamoja’
  pamwe, jamii

Matamshi

pamoja

/pamɔʄa/

Ufafanuzi msingi wa pamoja katika Kiswahili

: pamoja1pamoja2

pamoja2

kiunganishi

 • 1

  neno linalotumika kuelezea umoja wa kufanyika kwa jambo.

  ‘Pamoja na yote uliyomweleza, hakuamini’

Matamshi

pamoja

/pamɔʄa/