Ufafanuzi msingi wa pamvu katika Kiswahili

: pamvu1pamvu2

pamvu1

nomino

  • 1

    mkutano wa kupeleka na kupokea mahari.

Matamshi

pamvu

/pamvu/

Ufafanuzi msingi wa pamvu katika Kiswahili

: pamvu1pamvu2

pamvu2

nomino

  • 1

    pesa zinazopokelewa kwenye hadhara ya kupeleka na kupokea mahari.

Matamshi

pamvu

/pamvu/