Ufafanuzi msingi wa panchi katika Kiswahili

: panchi1panchi2

panchi1

nominoPlural panchi

  • 1

    chombo cha kutobolea tundu k.v. katika karatasi au ngozi.

Asili

Kng

Matamshi

panchi

/pantʃi/

Ufafanuzi msingi wa panchi katika Kiswahili

: panchi1panchi2

panchi2

nominoPlural panchi

  • 1

    usukumaji kwa kutumia ngumi.

Asili

Kng

Matamshi

panchi

/pantʃi/