Ufafanuzi wa panchi gezamguu katika Kiswahili

panchi gezamguu

nominoPlural panchi gezamguu

  • 1

    kifaa cha mshonaji viatu cha kigongo kilichochongwa kulingana na saizi tofauti za miguu ya watu.

Asili

Kng

Matamshi

panchi gezamguu

/pantʃi gɛzamgu:/