Ufafanuzi wa pande la mtu katika Kiswahili

pande la mtu

msemo

  • 1

    mtu mrefu na mnene; mtu wa miraba minne.

    pandikizi