Ufafanuzi msingi wa paneli katika Kiswahili

: paneli1paneli2

paneli1

nominoPlural paneli

  • 1

    ‘Paneli ya majaji’

Asili

Kng

Matamshi

paneli

/panɛli/

Ufafanuzi msingi wa paneli katika Kiswahili

: paneli1paneli2

paneli2

nominoPlural paneli

  • 1

    kipande kimojawapo katika vipande mbalimbali vilivyoungwa kufanya k.v. mlango au dashibodi ya gari.

Asili

Kng

Matamshi

paneli

/panɛli/